0


 

1.Epuka kuwa mtu wa kulaumu.

Kila unapomlaumu mtu eti amefanya jambo fulani,mara nyingi naye huishia kukulaumu alafu mwisho wa siku mnaishia kulaumiana bila kutatua tatizo.

2.Wafanye wenzako wajione kuwa wao ni wa muhimu katika maisha yako

Kama mtu fulani ni mwenzi wako,rafiki yako,mfanyakazi wako au mtu tu mnayejuana,hakikisha kuwa kila anapokufanyia jambo zuri unamwonyesha kuwa amefanya jambo zuri,

3 Kuwa mtu wa shukrani za dhati.

Mwenzako anapokufanyia jambo zuri,ni vizuri ukakuwa mtu wa kushukuru.Na unaposhukuru,hakikisha kuwa unatoa shukrani za dhati.Hata anapokutendea mabaya wewe mrekebishe tu ila fanya hivyo kwa ukarimu na upendo.

 



Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top