Hivyo ndivyo rafiki yetu wa muda mrefu M4C Mh Dr Slaa alivyotufanya . Ametuelezea tu matatizo yetu na mgombea wetu tunayempenda Edward Nguyai Lowassa na kueleza sababu kwa nini hafai kuwa rais kulingana na yeye bila ya tutatua tatizo la watanzania asilimia 99.
Watanzania mimi nikiwepo tumechoka na haya mabadiliko ya CCM tunayoahidiwa miaka 53 sasa bila kuona mabadiliko hayo yakifanyika.Ufisadi wa Lowassa alioutaja Dr Slaa ni wa miaka 8 iliyopita, kwa nini hakutaja angalau ESCROW iliyofanyika mwaka huu wa uchaguzi 2015.Hii inakuonyesha nini kuhusu yeye na nia yake ya kuamua kutaja hilo sakata leo.Swali langu ni je,kama unataka kumshika kuku,unaanza kumwonyesha kamba kabla ya kumpa mahindi au unampa mahindi kwanza kisha unaweka kamba mbele yake?CCM kuhusika na sakata la ESCROW katika mwaka wa uchaguzi ni kutuonyesha wazi kuwa hawatuongopi sisi watanzania hata kidogo.Sasa fikiria tukishawarudisha watafanya nini zaidi!!!
Ila wacha niseme watanzania wazalendo na wapenda mabadiliko bado hatujatingishika!
Ukitaka kujua hili,soma post za facebook nilizoziweka hapa chini.
1.Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"
Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we
will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is not for
ccm only"
Bila kuuma maneno..this is what is stand for...
2. No, mlikuwa wapi kutoa siri nzito hapo nyuma, leo mmeona uchaguzi ndo mnaona mwananchi wa kuambia ukweli, wote ni waongo lengo lenu kutchanganya tukose wapi kwa kwenda, ebu tunataka mnadi sera zenu tu acheni kuwapa watu maovu ya mgombea fulani. "SISI TUNAAMINI DUNIANI HAKUNA MKAMILIFU HATA MMOJA WOTE WANA MAPUNGUFU ILA KUZIDIANA TU" sichagui wala kubagua atakaye nitawala mimi simjui. 25-10-2015 ndiyo mwamuzi. Godbless Tanzania, Godbless general election. ameen!
3.Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe siku zote huna jipya babu neno kapumzike tu
4.Wivu uo haujanixhawxhi kwa lolot lowassa nd rais we2 jmn una jipya slaa
5.Kwahyo huyo "slaa" anampinga "lowassa" sasa anatak tumchague "magufuli" au anamanisha nini hapa mwendo wa "LOWASSA" atawamponde vipi siku zote "AKUNA BINADAMU ALIYEKAMILIKA" tumechoka na ufisadi wa ccm bora tumpe mtu ambaye ayupo ndani ya ccm
6.Dr Slaa ,nyuma kuna simba,mbele kuna mbwa! unataka kusema turudi nyuma kwa sababu mbwa anaweza kuwa mkali?
7.Watz tujiulize maswali yafuatayo...
a-Gharama ya kurusha matangazo kwa channel za Star Tv, Azam two, channel10 kwa saa nzma ni sh. ngapi...? je Dr. Slaa anaweza kulipia channel zote hizo...?? kama hawezi, kapata wapi hzo pesa...?
b. kwann kipindi kitarudiwa na TBC, tangu lini TBC inarusha matangazo ya wapinzani...?
c. kwann maada kuu ilikua lowasa & Richimond na kwa isiwe ESCROW...? n.k
d. kwann Dr hajamzungumzia magufuli hta kidogo
e. kwann mwisho wa hotuba ccm mbele kwa mbele imepigwa na kituoa cha TBC...??
f. kwann hakumtaja aliempa rushwa ya milion 500 na kuikataa...???
g.kwann aitishe press conference baada ya sheria kuanza kufanya kazi
h. Nani aliyefanya maandalizi pale SERENA HOTEL...??
MTANZANIA TAFAKARI, KISHA ENDELEA na MAPAMBANO YA KUITOA CCM-Oct-25-2015.

8.Chakula chote kimeoza, mboga na hata ugali, njaa nayo inauma mno na inazidi kuuma. Tuuchonge ugali huenda ule wa ndani bado mzima? Ama tuichambue mboga? Au tukae tu Tujisononeshe mpishi atuonee huruma?#shio
Dr Slaa tumekusikia ila for now unless utangaze kesho wewe mtakatifu unahamia ACT tukupatie kura,Bado Lowassa is the Better Option
Naomba radhi kwa wote niliochukua post zao za fb
Post a Comment